|
Wema Sepetu |
Wema Sepetu amewajibu baadhi ya watu ambao hawakubaliani na ushindi wake kama Ijumaa Sexiest Girl 2014 taji ambalo alivikwa juzi kutoka katika shindano lililoendeshwa kwa miezi kadhaa na gazeti la Ijumaa lililo chini ya Globalpublishers. Wasomaji walipiga kura na kumpa Wema ushindi ambapo Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 alikuwa akichuana na Lulu, Jokate, Jackline Wolper na Nelly Kamwelu. Kupitia Instagram Wema ameandika.....
Baadhi ya watu mitandaoni wanadai kuwa Wema hakustahili kutokana na kutumia mkorogo kwa madai haileti picha nzuri kwa mwanamke wa kiafrika ikidaiwa ni kutojiamini katika urembo kwa kutumia mkorogo badala ya kujivunia ngozi asilia. Wema alizua gumzo magazetini na mitandaoni miezi kadhaa iliyopita baada ya kudaiwa kujeruhiwa na mkorogo na kwenda kurekebishwa ngozi nchini China na yeye mwenyewe kukiri hilo.
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni tarehe 24 April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment