Thursday, April 24, 2014

Sabby Angel Na Nyota Ndogo Wawasha Moto Jukwaa Moja Nchini Kenya.

Sabby akiwa na Nyota ndogo
Muigizaji wa filamu nchini Tanzania ambye pia ni msanii chipukizi wa kizazi kipya anayetarajiwa kufanya makubwa Sabby Angel juzi kwenye sikukuu ya Pasaka ali-perform katika jukwaa moja huko Mlindi nchini Kenya pamoja na msanii maarufu wa Kenya Nyota Ndogo ambaye ameukubali uwezo wa Sabby na siku za usoni wanatarajiwa
kufanya collabo ya pamoja kama mambo yakienda sawa. Angalia baadhi ya picha


                                                     Sabby na madansa wake
Madansa hawa watakuwa pamoja na Sbby katika kila show atakayofanya. Search You Tube jina la Sabby Angel ili kuangalia video hiyo ya show yake.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni tarehe 24 April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and 


No comments:

Post a Comment