Sunday, April 20, 2014

Photos: P-Funk Afunga Ndoa Ya Kiislamu Jijini Ausha.

Producer mwenye jina kubwa katika muziki wa kizazi kipya Tanzania Paul Mathias "P- Funk" jana Jumamosi alifunga ndoa ya kiislamu na Hidaya huko Jijini Arusha. ukiachilia mbali ndo yake hiyo mpya na Hidaya ambaye wanadaiwa kuwa nabinti mdogo pamoja lakini pia P- Funk anadaiwa kuwa na mabinti wengine wawili wakubwa mmoja akiwa amezaa na star wa filamu nchini Kajala Masanja. Angalia picha za harusi.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni tarehe 24 April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment