Friday, April 18, 2014

Photo Of The Day: JB na Richie Enzi Hizo.

JB, Richie na mke wake Richie
Picha hapom juu inawaonyesha mastaa wakubwa wa filamu Swahiliwood Jacob Stephen(JB) na Single Mtambalike(Richie). Hapo ilikuwa mwaka 1999 wakati Richie alipofunga ndoa.

Wasanii hao licha ya kuwa maswahiba wakubwa leo lakini walianzia mbali kwa kutamba katika kundi la maigizo la Mambo Hayo lililokuwa likirusha michezo yake ITV mwishoni mwa miaka ya 1990.

                                                          JB na Richie walivyo leo

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni tarehe 24 April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment