Wednesday, April 23, 2014

Nisha Afanikiwa Kujiweka Kileleni Katika Soko La Filamu Nchini.

Nisha
Star mkubwa wa filamu nchini Salma Jabu Nisha amesema kuwa filamu zake nyingi zinafanya vizuri sokoni kiasi cha kumshukuru Mungu na mashabiki wake kwa hatua hiyo. Akizungumza na Bongo5 Nisha alisema...

Ukiachilia mbali hayo Nisha anaishi kwenye mjengo wake maeneo ya Kijitonyaman, Dar es salaam na pia amenunua gari jipyam hivi juzi kati ikidaiwa ni mafanikio ya filamu yake ya Gumzo.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni tarehe 24 April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment