Friday, April 18, 2014

Kutana Na Star Wa Congo Aliyefanya Kweli Ndani Ya Filamu Ya "Sio Sawa" Na King Majuto.

Modest Bafite
Filamu ya SIO SAWA inayotarajiwa kutoka tarehe 24 mwezi huu inasubiriwa kwa hamu huku ikiwa na mastaa wa Tanzania kama vile King Majuto, Salehe Lufedha, Babylove Kalalaa na Modest Bafite ambaye ni star mwenye jina kubwa nchini Congo na sasa akija juu kwa kasi kwenye filamu za Tanzania kama alivyo Patcho Mwamba. Filamu ya Sio Sawa imezalishwa na Salehe Lufedha ambaye pia ni star wa filamu nchini na mmoja wa wahusika wahuu wa movie hii

Hakikisha unanunua nakala yako halisi ya SIO SAWA itakapoingia sokoni tarehe 24 mwezi huu wa April kwani wasanii hao wamefanya makubwa ndani ya movie hiyo kali.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment