Wednesday, April 16, 2014

Hii Ndiyo Filamu Inayosubiriwa Kwa Hamu Kubwa Kuingia Sokoni Mwezi Huu.

Waandaaji wa filamu mpya ya SIO SAWA inayotarajiwa kutoka tarehe 24 mwezi huu wa April wanasema filamum hiyo ni moto wa kuotea mbali ikiwa na story yenye kisa cha kusisimua na pia wasanii wenye uwezo mkubwa akiwemo King Majuto, Salehe Lufedha ambaye pia ndiye producer wa filamu hiyo, Babylove Kalalaa aliyewahi kushriki Miss Tanzania 2012 na pia Miss Talent wa mwaka huo. Modest Bafite. Filamu imeongozwa na Felix Owino. Hakikisha unapata nakala yako halisi.

                                                     Babylove Kalalaa
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment