Pages

Saturday, April 5, 2014

Filamu Ya Jicho Langu Yatamba Sokoni.

Ile filamu ya JICHO LANGU toka kwa Odama inadaiwa kukimbiza sokoni kwa mashabiki kuichangamkia kwa kununua. Filamu hiyo yupo Salim Ahmed(Gabo), Odama, Grace Mapunda na Thadeo Alexander. Hakikisha unanunua nakala yako halisi sasa.

No comments:

Post a Comment