Pages

Saturday, April 5, 2014

Wasichana Amkeni Na Acheni Kuendekeza Kuhongwa Na Mapedeshee: Lulu

Lulu
Elizabeth Michael "Lulu" alilye star wa filamu Swahiliwood ametoa ushauri wa bure kwa wasichana wenzake kutokuendekeza  kuhongwa pesa na vitu vingine vya gharama kutoka kwa matajiri a.k.a mapedeshee na badala yake wajikite katika kujishughulisha na kazi halali za kuwaingizia kipato. Star huyo wa Filamu za Family Curse na Ripple Of Tears akizungumza na Globalpublishers alisema "Jamani wasichana wote tuinuke tuachane na mambo ya kuhongwa fedha na matajiri kwani hizi zina mwisho wake, siku hizi mambo yote ni kujishughulisha"




Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

2 comments:

  1. N sisi tunakuombea Mungu uamke uache uhuni uwe mkristo safi maana wiki iliyoisha ulipokuwa huku Arusha ulitia kinyaa acha ushetani wa ngono lulu wanaume kila siku wanazaliwa wapya utawaweza wote??? tafuta mmoja uolewe pesa za kuvaa vitu vya bei zitakupeleka pabaya jiangalie na ukumbuke uke wa mwanamke tena hasa kwa wewe uliyeanza mapema utaufanya uwe kama taulo la kuogea maana sio front wala back kotekote umeshapaharibu tizama maisha yako upya mkosi wa kumuua kanumba haujaisha unautafuta mwingine badilisha fikra zako ondoa mawazo ya kihuni uthamini mwili wako

    ReplyDelete
  2. DOGO WANGU PUNGUZA KUGAWA KIDUDU CHAKO LA SIVO HUTAFIKA MBALI NI USHAURI TU

    ReplyDelete