Friday, April 11, 2014

Dvj Hunter Ni Kidume Cha Shoka, Ananikoleza Kisawasawa: Snura Mushi

Snura na mpenzi wake Dvj Hunter
Msanii maarufu wa filamu na muziki nchini Snura Mushi amenasa katika penzi la Dj wa Club Maisha ya Mbeya. Dj huyo anayeonekana pichani akiwa kimapenzi zaidi na Snura anaitwa Dvj Hunter na anadaiwa kusema kuwa linapokuja suala la kitandani Snura ni hatari kwani ni full majanga kunako sita kwa sita. Naye Snura alikaririwa akisema kuwa hajawahi kukutana na kidume cha shoka kama Dvj Hunter kwani anamkoleza kisawasawa. Angalia picha zao hapo chini......

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment