Sunday, April 13, 2014

Diamond Platinumz Akiri Kukolea Kwenye Mapishi Ya Wema Sepetu.

Wema Sepetu and Diamond
Superstar singer Diamond Platinumz amemsifia mpenzi wake Wema Sepetu ambaye pia ni star mkubwa nchini kuwa anajua kupika haswa na ni moja ya sababu ya kumpenda zaidi Wema ambaye nji star wa filamu Swahiliwood na Miss Tanzania 2006.

"Wema nampenda kwa mengi ujue lakini pia anajua sana kupika mapochopocho ndiyo maana sipindui, mwanamke mapishi bwana" alisema Diamond ambaye umaarufu wa kazi zake umezidi kuongezeka katika bara la Africa.



Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment