Muigizaji wa filamu nchini Geofrey Kusila anatarajia kutesa sokoni na filamu mpya, pia amewaasa wasanii wenzake kufanya kazi nzuri na sio bora kazi. Akichonga na
Swahiliworldplanet Kusila alisema "
Soon nitaachia movie yangu ya Ndoa Goli La Tatu na Strapped, ila kiukweli wasanii tusipokuwa na jicho
la tatu we wll never bring changes to our industry it's time now
wataanzania waamke wasinunue kava tu bali kilichopo ndani"
Geofrey Kusila
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment