Geofrey Kusila
Thursday, March 20, 2014
Wasanii Tusipokuwa Na Jicho La Tatu Hatutaleta Mabadiliko Ya Kweli Katika Filamu: Geofrey Kusila
Muigizaji wa filamu nchini Geofrey Kusila anatarajia kutesa sokoni na filamu mpya, pia amewaasa wasanii wenzake kufanya kazi nzuri na sio bora kazi. Akichonga na Swahiliworldplanet Kusila alisema " Soon nitaachia movie yangu ya Ndoa Goli La Tatu na Strapped, ila kiukweli wasanii tusipokuwa na jicho
la tatu we wll never bring changes to our industry it's time now
wataanzania waamke wasinunue kava tu bali kilichopo ndani"
Geofrey Kusila
Geofrey Kusila
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment