Friday, March 21, 2014

Tunaisubiri Kwa Hamu Filamu Ya "Jicho Langu" Toka Kwa Odama: Wamachinga

Wamachinga mbalimbali wa filamu ndani na nje ya Tanzania wanaonekana kuisubiri kwa hamu filamu mpya ya JICHO LANGU toka kampuni ya J-Film 4 Life inayomilikiwa na Odama Jennifer Kyaka, filamu hiyo itaingia sokoni tarehe 31 mwezi huu wa tatu. Wamachinga wawili tofauti jana walisema Odama huwa habahatishi na filamu zake huwa zinapendwa na kuuza sokoni. " Yule Odama anakubalika, JICHO LANGU tunaisubiri tufanye biashara" alisema machinga mmoja maeneo ya Kinondoni Shamba aliyejitambulisha James Mashimo.


Jicho langu imewakutanisha mastaa kama Odama, Gabo, Grace Mapunda na Thadeo Alexander.

                                                            Odama
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment