|
Thadeo Alexarnder |
Actor anayefanya vizuri kwasasa kunako tasnia ya filamu nchini, Thadeo Alexander ameizungumzia filamu mpya ya JICHO LANGU ambayo amecheza na mastaa wenzake Odama Jennifer Kyaka, Salim Ahmed(Gabo Zigamba), na Grace mapunda. Thadeo amesema kuwa filamu hiyo inayotarajiwa kutoka wiki ijayo ni nzuri sio ya kukosa kutokana na kuwa na kisa cha kusisimua. Akizungumza na
Swahiliworldplanet alisema "
Ni filamu ambayo ina story ya
tofauti yenye kugusa hisia katika nyanja na umri tofauti..filamu inayogusa
maisha yetu ya kila siku ina visa vya ukweli ambavvo huwa vinatokea katika
maisha yetu ya kila siku.ni movie nzuri ya kuangalia yenye maadiil ambaĆ½o
unaweza kuangalia na mama au baba yko kwa kuwa imefuata maadili ya kitanzania"
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment