Pages

Thursday, March 6, 2014

Shilole Na Nuhu Mziwanda Waanika Uhusiano Wao Wa Kimapenzi, Ndoa Yanukia.

Shilole na Nuhu
Wanamuziki wa Bongofleva Shilole na Nuhu Mziwanda wameweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi wakati wakihojiwa jana na Clouds fm. Nuhu alisema "Tunajipanga mambo fulani yakae sawa mimi na mke wangu kila kitu kitakaa sawa,kweli tunakama miezi miwili,mitatu tunamshukuru Mungu tunapendana kiukweli kila mtu yuko real kwa mwenzake".  Kwa upande wa Shilole alikiri kupendana na Nuhu na kusema "Sijamkana Nuhu,kwanini nimkane kwa sababu gani? Yeye ananipenda na mimi nampenda'Alisema Shilole huku akisema yupo tayari kufunga nanye Ndoa"
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment