|
Shilole na Nuhu |
Wanamuziki wa Bongofleva Shilole na Nuhu Mziwanda wameweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi wakati wakihojiwa jana na Clouds fm. Nuhu alisema "Tunajipanga mambo fulani
yakae sawa mimi na mke wangu kila kitu kitakaa sawa,kweli tunakama miezi
miwili,mitatu tunamshukuru Mungu tunapendana kiukweli kila mtu yuko
real kwa mwenzake". Kwa upande wa Shilole alikiri kupendana na Nuhu na kusema "Sijamkana Nuhu,kwanini nimkane kwa sababu gani? Yeye ananipenda na mimi
nampenda'Alisema Shilole huku akisema yupo tayari kufunga nanye Ndoa"
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment