Pages

Tuesday, March 4, 2014

Photos: Kutana Na Amina Kiparis, Msomaji Mzuri Wa SWP Na Shabiki Mkubwa Wa Nisha, Gabo Na Slim Omar.

Amina Kiparis ni msomaji mzuri wa blog hii ya Swahiliworldplanet na pia ni make up artist wa filamu na television akiwa amesomea mambo hayo chuo kikuu cha University of Dodoma(UDOM) na tayari ameshawapamba mastaa kadhaa nchini kama vile Jackline Wolper. Binti huyu mrembo kama anavyoonekana pichani ana degree ya Kiswahili pia kutoka UDOM. Ukiachilia mbali hayo Amina pia ni shabiki mkubwa wa filamu za kiswahili na pia ni fashionista mkubwa. Angalia baadhi ya picha zake hapo chini alizozipiga wiki hii...........

umeona macho hayoo......!


mitindo bomba ya nywele na viwalo hapa ndo mwake.....

                                             fashionista wa ukweli
Amina pia ni shabiki mkubwa wa filamu za Salma Jabu Nisha, Slim Omar na Salim Ahmed(Gabo Zigamba)
Pozi la kichina china au ita upendavyo wewe !
Jiulize kama Amina sio msichana mrembo nani ataitwa mrembo !
Kama wewe ni shabiki wa blog hii na una picha zako kali ulizotokea vizuri basi tutumie kwa email hii swahiliworldent@gmail.com picha 3-6 zinatosha. ni kwa wote wanaume na wanawake, wasichana kwa wavulana. huku ukieleza una kipaji gani chochote ulichonacho na kuwataja mastaa wa kike na kiume unaowapenda kutoka tasnia ya filamu, muziki na mitindo nchini ili wanaposoma hii blog wawajue mashabiki wao. Kama upo single, engaged au married basi unaweza pia kutueleza.





Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

1 comment: