Pages

Tuesday, March 4, 2014

Odama, Gabo, Grace Mapunda, Thadeo Alexander Wafanya Makubwa Kwenye Filamu Ya Jicho Langu.

Star mkubwa wa filamu nchini Odama Jennifer Kyaka amesema kuwa filamu yake mpya ya JICHO LANGU si ya kukosa kwa mashabiki wa filamu za kiswahili kwani humo ndani wamefanya makubwa sana na kuna matukio ya kusisimua kutokana na  story ya filamu ghiyo iliyowakutanisha mastaa kadhaa kama Odama, Salim Ahmed(Gabo), Thadeo Alexander na Grace Mapunda. Jicho Langu imetengenezwa na kampuni ya J-Film 4 Life na inatarajiwa kuingia sokoni rasmi tarehe 31 mwezi huu wa 3. hivyo usikose nakla yako halisi.


Odama
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment