Actress mwenye jina kubwa Swahiliwood Elizabeth Michael "Lulu" ameshangaza watu kadhaa wakiwemo mashabiki wake kutokana na muonekano wake mpya katika jarida la Vibe Magazine Tanzania ambalo litatoka muda si mrefu. Lulu anaonekana kama mtumishi wa Mungu wa dini ya kikristu katika picha hiyo huku ikiambatana na maneno" can you judge me".
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment