Pages

Wednesday, March 19, 2014

Diva Ausifia Uzuri Na Urembo Wa Lulu Na Kutamani Angekuwa Mwanaume, Mashabiki Wamponda.

                                                                      
Diva
Mwanadada Loveness aka Diva the Boss mtangazaji wa Clouds fm kipindi cha Ala Za Roho, kinachozungumzia maswala ya mapenzi na mahusiano…..Jana usiku alijikuta akielezea hisia zake kwa Muigizaji  Elizabeth Michael a.k.a Lulu "Kutoka moyoni nampenda sana huyu binti, ningekuwa mwanaume ningemfuata na kumu-approach, sema mimi  ni mwanamke tu"
Hii ilikuwa kabla ya kucheza wimbo wa atatamani ambayo ni version  ilioimbwa na Lulu. Wimbo halisi uliimbwa   na Linnah msanii kutoka THT.
Lulu
Hata hivyo kauli ya Diva imepokelewa kwa hisia tofauti na watu hasa katika mitandao ya kijamii wakimponda Diva kuwa ni lazima atakuwa msagaji. Angalia baadhi ya comments za mashabiki mbalimbali kutoka page ya Bongoswagz





Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment