Pages

Thursday, March 20, 2014

Baada Ya Ulezi Kumbana Kidogo Faiza Ally Kurudi Kwenye Filamu Muda Si Mrefu.

Faiza Ally
Faiza Ally ambaye ni muigizaji wa filamu nchini na pia mzazi mwenzake Joseph Mbilinyi(Sugu) aliye mbunge wa Mbeya Mjini na mwasisi wa muziki wa kizazi kpya nchini amesema kuwa hajaacha filamu ila alitulia kidogo sababu ya kumlea mwanae kwa hiyo mashabiki wake wasiwe na wasiwasi kwani kwasasa atarudi muda si mrefu. "Akizungumza na Swahiliworldplanet Faiza Alisema "sijaacha lakini kipindi kirefu nilikuwa nalea sasa naandika stori hopeful kwenye mwezi wa saba hivi nitakuwa nimefika hatua fulani"



Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

1 comment:

  1. Matege Yale we Mheshimiwa Sugu ujanja wote umeenda kuzaa na huyo? Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bibi #Mbutananga

    ReplyDelete