Pages

Wednesday, March 19, 2014

Photos: Mtunisy, Chuchu Hans, Rammy Galis, Esha Buheti Na Mulky Katika Filamu Mpya "Tugawane Maumivu"

Star wa filamu nchini Nice Mohamed " Mtunisy" yupo kwenye shooting ya filamu yake mpya inayoandaliwa na kampuni yake ya Nice Entertainment. Filamu hiyo inaitwa tugawane maumivu huku mastaa wengine wakiwa ni Chuchu Hans, Esha Buheti, Rammy Galis na Mulky. Angali picha wakati wakitengeneza filamu hiyo ........

                                                 Mtunisy na Chuchu Hans
Mtunisy, Mulky, Chuchu Hans and Rammy Galis


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment