|
Shasta |
Muigizaji maarufu wa filamu nchini, Shasta amefunguka kuwa baadhi ya watu na mashabiki wake wanadhani kuwa yeye ni jini kweli baada ya kuigiza filamu kadhaa kama jini na kuuvaai uhusika vizuri. Akizungumza na
Swahiliworldplanet Shasta alisima kuwa anakwepa hata baadhi ya maswali ya watu ambao wanadhani yeye ni jini kweli "
Nakwepa maswali ya watu maana wengi wanaamini mimi ni jini kweli". Shasta alimalizia kwa kusema "Nawaambia mimi sio jini ni binadamu wa kawaida tena ni Msukuma wa Bariadi"
Shasta ambaye pia hutumia jina la Karina Hundaya amecheza filamu nyingi kama jini, filamu hizo ni kama vile Kisasi Cha Mzimu ,Siri Ya Majini, Pete Ya Ajabu ,Sekunde Chache.
Shasta
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment