Rose Ndauka
Friday, January 3, 2014
ROSE NDAUKA AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE.
Star wa filamu Swahiliwood Rose Ndauka amejifungua mtoto wa kike kwa operasheni katika hospitali ya taifa Muhimbili Jumapili iliyopita. Rose na mwanae huyo wanaendelea vizuri huku Rose akisisitiza kuwa binti yake huyo amefanana sana na baba yake. Pia star huyo wa filamu za Deception, Cut Off, Waves Of Sorrow na Swahiba alisema kuwa atarudi kwenye issue zake za filamu baada ya mtoto wake kuwa na umri wa kuweza kumuacha peke yake bila yeye kusumbuka.
Rose Ndauka
Rose Ndauka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment