Tuesday, January 14, 2014

PHOTOS: WEMA SEPETU MJAMZITO !?

Wema Sepetu anadaiwa kuwa mjamzito baada ya picha zake mpya kuanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na blogs huku Wema mwenyewe akiandika maneno hayo hapo chini ambayo yamezidi kuwafanya watu wanaofuatilia maisha ya mastaa wa Bongo kuamini kuwa ni lazima star huyo atakuwa mjamzito baada ya tumbo lake kuanza kukua kwa kasi. Hata hivyo wengi wameanza kujiuliza kama mimba hiyo ni ya Diamond ambaye wamerudia hivi karibuni au lah !. let's wait n see............


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment