Friday, January 10, 2014

BEHIND THE SCENES: MZEE MAGALI, KITIME, MWAKIFWAMBA, IRENE SANGA WAJA NA FILAMU YA KUTAKAPOKUCHA.

Filamu hii ambayo script yake imeandikwa na msanii Irene Sanga, inachambua maisha katika kijiji ambacho Mzee Nongwa (John Kitime) ndie mwenyekiti. Mzee huyu ambaye amebobea kwenye udikteta, anawadhalilisha sana wanakijiji kutokana na mali yake ambayo hupewa na mwanae  jambazi ambaye anaishi mjini. Upinzani mkali unaletwa na Mzee Ngatogwa (Mzee Magali), ambaye pia ndie msomi hapo kijijini. Hili linaleta upinzani ugomvi mapigano kati ya pande hizi mbili za hawa wazee......matokeo....................pata picha za nyuma ya pazia wakati wa utengenezaji wa baadhi ya scenes za filamu hii ambayo director wake ni Simon Mwakifwamba.













source: Musicintanzania


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more.

No comments:

Post a Comment