Monday, December 30, 2013

BEHIND THE SCENES: NISHA, AGNES MASOGANGE, JENIFER KATIKAFILAMU MPYA, WOWOWO LA MASOGANGE LAMDATISHA SENGA.

Star maarufu wa filamu Swahiliwood Salma Jabu Nisha yupo location maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es salaam akishuti filamu yake mpya huku akiwa amemshirikisha Agnes Masogange ambaye ni video queen maarufu nchini. Katika filamu hiyo mpya pia yupo Jenifer aliyetamba na marehemu Kanumba katika filamu za Uncle JJ na This Is It. Pia yupo mchekeshaji maarufu Senga ambaye anaonekana kudatishwa na wowowo la Agnes Masogange kama anavyoonekana pichani hapo chini..................


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment