Friday, November 8, 2013

RAYUU ADAIWA KUWA BUSY KUIGA STYLES ZA NYWELE ZA JACKLINE WOLPER.

Rayuu anadaiwa kuiga fashions za nywele za star mwenzake wa Swahiliwood Jackline Wolper. Chanzo kimoja ambacho kipo karibu na Rayuu kimeitonya Swahiliworldplanet kwa kusema "Rayuu siku hizi anataka kuwa copy ya Wolper sijui, si mmeona siku hizi yuko busy kumuiga wolper mitindo ya nywele ha ha ha haaa ustaa kazi jamani!" kilisema chanzo hicho huku kikiangua kicheko cha haja.

Baada ya kupata habari hizo ilibidi Swahiliworldplanet  kumtafuta Rayuu na alipopatikana na kuelezwa kuhusu habari za kuwa busy kumuiga Wolper fashion za nywele kwanza aliangua kicheko pia na kujibu "ha ha ha ha haa.... huo ni uzushi, kwanza mimi sipo karibu na yeye(Wolper) sasa ntajuaje styles zake jamani? mi huwa naangalia styles za Rihanna ndiyo nabadilisha kinatokea kitu kingine ambacho ni tofauti na Rihanna, mi najidizainia mwenyewe styles zangu na nina saloon yangu ndo huwa wananitengeneza"

                                                            Rayuu
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment