Tuesday, November 12, 2013

PENZI LA KAJALA NA PETIT MAN LADAIWA KUSAMBARATIKA, MDOGO WA VANESSA MDEE ADAIWA KUTOKA NA PETIT MAN.

Habari ni kuwa penzi la muigizaji wa filamu Swahiliwood Kajala Masanja na Petit Man Wakuache amabaye ni mfanyakazi wa Wema Sepetu katika kampuni ya Endless Fame Production limeota mbawa na kwasasa Petit Man anatoka na mdogo wake Vanessa Mdee.

Hata hivyo wawili hao hawakuweza kupatikana kutolea ufafanuzi wa habari hizo ila tukiwapata tutakuletea walichokisema. Wawili hao walidaiwa kuzama katika penzi mara baada ya Kajala kutoka Segerea na baadaye ikadaiwa walikuwa wapnzi hata kabla ya Kajala hajaenda Segerea.

                                                     Kajala na Petit Man

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment