Wednesday, November 13, 2013

MTUNISY KUINGIZA SOKONI FILAMU YA WHO'S BAD IJUMAA HII.

Baada ya kimya cha muda kidogo hatimaye msanii maarufu Swahiliwood Nice Mohamed(Mtunisy) anaingiza filamu yake ya Who's Bad tarehe 15 Ijumaa hii hivyo usikose kununua nakala yako halisi uone makubwa yaliyofanyika katika filamu hiyo. Patcho Mwamba pia yupo katika filamu hiyo na waigizaji wengine wenye vipaji..........

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment