Mashindano ya 62 ya urembo ya Miss Universe
yanatarajiwa kufanyika leo usiku katika Ukumbi wa Crocus City,
Krasnogorsk, Moscow nchini Urusi . Olivia Culpo, Miss Universe 2012
kutoka Marekani atamvisha taji mrithi wake atakayeshinda katika shindano
hilo litakalowashindanisha warembo kutoka nchi 86. Mwaka huu, Tanzania
inawakilishwa na mrembo Betty Boniface Omara.
All the best Betty......................
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news.
No comments:
Post a Comment