Thursday, November 21, 2013

BEHIND THE SCENES: WASTARA, BOND, STANLEY MSUNGU, MATUMAINI, KINGWENDU KATIKA FILAMU YA UAMINIFU DHAIFU.

Bond Bin Sinan anakuja na filamu mpya ya Uaminifu Dhaifu huku akiwa yeye ndiye mtunzi, producer, director na pia mmoja wa waigizaji wakuu wa filamu hiyo ambayo pia imewakutanisha Wastara Juma Sajuki, Stanley Msungu, Matumaini, Kingwendu na wasanii wengine. Angalia baadhi ya picha za utengenezaji wa filamu hiyo.................

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment