Liberty aliyevaa vest nyekundu |
Habari zilizonaswa na Xdjz ambayo ilikuwepo kwenye viwanja
hivyo kwa ajili ya kumpokea mzanii Azonto ambapo Libarty alisafiri ndege
moja na Azonto wakitokea Uingereza ilishuhudia issue hiyo sehemu ya kutokea wageni wanaokuwa wanawasili.
Libert Msuya ambae ana uraia wa Ungereza licha ya kwamba ni mtanzania
siku za hivi karibuni alikuwa nchini huko ambapo ndio familia yake ilipo na
siku hiyo ya tukio alikuwa anarejea Tanzania huku akiwa na mabegi kibao
na baada ya kufika AirPort ya Dar es salaam na mabegi hayo alifanyiwa uchunguzi
mkubwa kiasi cha kusababisha askari wote kumzunguka.
Hata hivyo hali hiyo iliyodumu kwa dakika 40 ilimlazimu rafiki yake wa karibu Manaiki Sanga kuanza kuchanganyikiwa akizani
labda huenda ni kweli rafiki yake huyo alikuwa na mzigo.
Aidha baada ya kuachiwa huru Liberty alitoka nje huku akipokelewa na
Manaiki. Mwandishi alifanikiwa kuongea na Liberty ambaye
alisema “ Ni utaratibu ambao upo kila
nchi wa kusachiwa hivyo mimi sikuona tatizo pele na wala mimi
sijihusishi na biashara yoyote haramu”
Nae msanii Manaiki Sanga” The Done” alisema kuwa
biashara ya madawa sio rahisi kwa kuwa inafanywa na watu wenye mioyo migumu
huku wakiwa wamekula viapo kwamba lolote litakalotokea poa na sio kazi
rahisi kama sanaa wanayoifanya wasanii.
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood new
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood new
No comments:
Post a Comment