Wednesday, September 18, 2013

PENINA, MROPE ZAKAAZ, KELVINA JOHN, ELIZA WAJA NA FILAMU MPYA YA MACHATA (PHOTOS)

Filamu inaitwa "Machata" waigizaji ni Mrope Zakaaz, Kelvina John, Penina na Eliza. Filamu hii imetengenezwa Dodoma, inahusisha maisha ya vijana wa mtaani wanaochafua nyumba za watu kwa kuchora makatuni na maneno ya matusi na wanakwenda kuchora nyumba ambayo ilikuwa inalindwa kitamaduni na wanafungua chupa iliyopo eneo hilo na kufungua mzimu ambao unawasumbua. Mrope ambaye ndiye rroducer wa filamu amesema lengo la kuandika movie hii ni kuwaonya vijana wenye tabia kama hii. Angalia picha za behind the scenes................

                                             Mrope Zakaaz
                                    Penina na Kelvina John
                            coming soon...........


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment