Muigizaji maarufu wa filamu Swahiliwood Nice Mohamed(Mtunisy) amecheza na waigizaji chipukizi katika filamu yake mpya inayoitwa Who's Bad kwa kuwapa nafasi muhimu ili kutoa nafasi kwa vipaji vipya katika kukuza tasnia ya filamu nchini. Filamu hiyo inatarajiwa kuingia sokoni mwezi ujao. Mtunisy ni maarufu kupitia filamu kama Mrembo Kikojozi aliyocheza na Aunt Ezekiel, Clinic love aliyocheza na Jackline Wolper na Rose Ndauka, The Dream akiwa na Riyama Ally na nyinginezo.
Mtunisy
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood new
No comments:
Post a Comment