Dully Sykes ambaye ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva amezipongeza juhudi za Diamond katika kujitangaza kimuziki kimataifa kwa kufanya kazi bora kufuatia video yake mpya ya My Number One kupongezwa na watu wengi. Video hiyo imefanyikia S.Afrika na kugharimu $30,000 takribani zaidi ya Tsh.milioni 45. Dully amesema kuwa marehemu Steven Kanumba alikuwa mtu wa kuthubutu kama Diamond ndiyo maana alifika mbali na kujulikana sana. Akizungumza na Bongo5 Dully alisema "Kanumba alikuwa ana uwezo wa hata kuchukua nauli yake ya kwenda
sehemu kama Ghana kwenye tamasha la movie lakini ilimradi kujitengenezea
status yake. Kwa hiyo Diamond ni mtu ambaye tayari ameshajitolea
kwaajili ya kuutetea muziki wetu"
Diamond
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood new
No comments:
Post a Comment