Jana fan page ya Facebook ya muigizaji maarufu Swahiliwood Yobnesh Yusuph(Batuli) ilihakiwa na mtu anayeaminiwa kuwa ni tapeli ambaye anajidai kutoa mikopo isiyo na riba kwa watu ambao hujiunga kwa ada katika Foundation ya Saving Foundation inayoaminika kuwa ni ya matapeli ambapo imekuwa ikihaki(hack) akaunt na page nyingi za watu na vipindi maarufu Tanzania ili watu waamini na kujiunga na kisha kuwatapeli. Baada ya page ya Batuli kuhakiwa(hacked) na kuweka habari
HAPA jana meneja wa Batuli kwa kushirikiana na wataalaam wa IT walifanya juu chini kujua ni email gani imefanya kitendo hicho na kujitokeza email ya jumanature4@gmail.com kitu ambacho kimeacha maswali vichwani mwa watu kwani kuna msanii maarufu wa kizazi kipya mwenye jina la Juma Nature kwa hiyo haijajulikana kama matapeli hao wanatumia email hiyo yenye jina la msanii huyo kwa kufoji au lah! na ikifikiriwa kuwa majina ya watu na hata nicknames hufanana wakati mwingine.
Baada ya Batuli kufanikiwa kuirudisha mikononi mwake page yake leo hii ameandiki hivi.....
"Poleni
sana mashabiki wangu aliye-hack account yng yaani hii fan page yangu
anatumia email hii jumanature4@gmail.com now nimeirudisha mikononi
mwangu, nawaasa mtu yeyote akikuomba kitu kupitia account yangu au kwa
njia yeyote usikubali mpaka umeiona sura yangu."
Batuli
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news
No comments:
Post a Comment