Pages

Wednesday, August 14, 2013

LULU NA WASTARA KUIGIZA FILAMU PAMOJA !

Kuna habari kuwa waigizaji maarufu wa filamu nchini Elizabeth Michael(Lulu) na Wastara Juma wana mpango wa kucheza filamu pamoja ingawa tulishindwa kuwapata wawili hao ili kuwauliza kama ni kweli wanakuja pamoja au lah!. Wawili hao pia wameonekana katika picha za pamoja hivi karibuni na mashabiki wao kudhani kuwa wanakuja pamoja kikazi. Na kama ni kweli basi itakuwa sio filamu ya kukosa ukifikiria wote ni waigizaji wenye vipaji na hakuna kumbukumbu za asilimia zote zinazoonyesha wawili hao kucheza filamu pamoja. Hivyo kama ni kweli tusubiri mzigo sokoni !


                                                     Lulu na Wastara
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies swp for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment