Pages

Wednesday, August 14, 2013

CHICKEN HEAD YAWAKUTANISHA RAY, RAYUU, WALTER DE NGONDE NA SKYNER ALI (PHOTOS).

Walter de Ngonde anaendelea kujiimarisha katika tasnia ya filamu na sasa anatarajiwa kuonekana tena katika filamu ya Chicken Head akiwa na Vicent Kigosi(Ray), Skyner Ali na Rayuu. Hii sio mara ya kwanza kwa model huyo maarufu nchini kuigiza katika filamu za Rj kwani zipo nyingine tayari anaonekana. Rayuu pia anatarajiwa kuonyesha cheche zake katika filamu hii wote wawili wakiwa sambamba na Ray na Skyner Angalia baadhi ya picha za behind the scenes za filamu hiyo

                                                                 Walter
                               Walter na Skyner Ali
                                  Walter na Rayuu
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies swp for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment