Monday, July 22, 2013

WEMA SEPETU AWAFANYIA PARTY YA NGUVU KAJALA NA B12, AFUTARISHA WATU, KEKI ZATIA FORA(PHOTOS)

Leo ilikuwa birthday ya Kajala na B12 na Wema kuamua kuwafanyia party ndogo na kupata msosi pamoja na mastaa mbalimbali ndugu jamaa na marafiki nyumbani kwake kama picha zinavyoonekana hapo chini  kwa msaada wa Millardayo. Kajala pia alienda kwa watoto yatima na kuwapa zawadi kabla ya hapo. Angalia picha...............



Kulikuwa na keki zaidi ya nane kama unavyoziona

Wadau,ndugu na marafiki ambao walialikwa na Wema Sepetu



Hii keki ndiyo iliyotia fora kwenye party

Keki hii kutoka kwa Wema kwenda kwa Kajala

Keki nyingine kwa ajili ya Kajala

Nyingine tena kwa ajili ya Kajala

Kutoka kwa Wema kwenda kwa B12
`
Kajala Masanja aliletewa keki za kutosha siku hii

OLYMPUS DIGITAL CAMERA


Wema akiongoza wimbo wa happy birthday
OLYMPUS DIGITAL CAMERA


 MC wa party Wema Sepetu
OLYMPUS DIGITAL CAMERA

No comments:

Post a Comment