Friday, July 5, 2013

WATU KUINGIA KWA KIINGILIO KATIKA NDOA YA DIAMOND PLATINUMZ.

Akizungumza na gazeti la Ijumaa Diamond alisema "Suala la ndoa yangu nalifanya kwa umakini sana, watu wawe na subira tu ila wanachotakiwa kujua ni kwamba nina plani za kuifanya sherehe ya ndoa yangu kwenye Uwanja wa Leaders Club, pale Kinondoni na watu wataingia kwa kiingilio kisichopungua shilingi elfu kumi. Itakuwa ni ndoa ya Wasafi bana,”


               Diamond na Penny



No comments:

Post a Comment