Pages

Thursday, July 25, 2013

KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUMUOMBA MUNGU NDIYO SIRI YA MAFANIKIO YANGU: SALMA JABU(NISHA)

Actress Salma Jabu(Nisha) amesema kwamba yeye akiwa kama mwanamke anasema kujituma ndio nguzo katika kufanikiwa. Star huyo aliyeingiza sokoni hivi karibuni filamu yake mpya ya Tikisa aliongeza kwa kusema kuwa baadhi ya watu wanashangaa kwa muda mfupi ameliteka soko la filamu lakini yeye anasema kinachomsaidia ni kuomba mungu, kufanya kazi kwa bidii na kuutumia muda vizuri pindi anapokuwa katika shughuli zake na kufikiria jinsi ya kuandaa filamu mpya itakayopendwa na mashabiki wa kazi zake.

Well said Nisha


Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment