Actress Salma Jabu(Nisha) amesema kwamba yeye akiwa kama mwanamke
anasema kujituma ndio nguzo katika kufanikiwa. Star huyo aliyeingiza sokoni hivi karibuni filamu yake mpya ya Tikisa aliongeza kwa kusema kuwa baadhi ya watu wanashangaa kwa muda
mfupi ameliteka soko la filamu lakini yeye anasema kinachomsaidia ni kuomba
mungu, kufanya kazi kwa bidii na kuutumia muda vizuri pindi anapokuwa
katika shughuli zake na kufikiria jinsi ya kuandaa filamu mpya itakayopendwa na mashabiki wa kazi zake.
Well said Nisha
Like our facebook page Swahili World Planet
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.
No comments:
Post a Comment