Sunday, July 14, 2013

FILAMU YA VANESSA IN DILEMMA NI MOTO WA KUOTEA MBALI: RACHEL HAULE

Rachel Haule ambaye ni muigizaji maarufu wa Swahiliwood amesema kuwa filamu yake ya Vanessa In Dilemma inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni ni moto wa kuotea mbali na siyo ya kuikosa kwa mashabiki wa filamu za kiswahili. Filamu hiyo ukiacha Rachel imeshirikisha wasanii wengine maarufu kama vile Rado, Salama Salmini(Sandra), Chikoka na wengineo. Pia Rachel ndiye mwaandaaji wa filamu hiyo.

Rachel na Sandra wakiwa katika moja ya scenes za filamu hiyo

No comments:

Post a Comment