Thursday, May 30, 2013

WEMA SEPETU ASEMA SIJAWAHI KUMSALITI DIAMOND NILIPOKUWA NAE, AZUNGUMZIA UTAJIRI WAKE.

Wema Sepetu amesema kuwa hajawahi kumsaliti mpenzi wake wa zamani mwanamuziki Diamond Platinumz kama anavyodai mara kwa mara. actress huyo aliyasema hayo katika interview na gazeti la Mzuka linalomilikiwa na Bongo5 Media Group." maisha yangu yote tangu nimeanza mapenzi na Naseeb naweza kusema kuwa sikuwahi kuwa unfaithful. I used to be very faithful to him na tulikuwa tunapendana sana. With Naseeb nilikuwa nisharidhika na maisha ambayo niko nayo" alisema star huyo. Katika Jarida hilo ameeleza kuhusu utajiri wake na pia issue ya Jokate kudaiwa kutoka na Diamond. Kanunnue jarida hilo ili usome zaidi aliyoeleza Wema.


No comments:

Post a Comment