Thursday, May 2, 2013

WEMA SEPETU AJIBU GAZETI MOJA LILILOANDIKA KUWA ANA UGOMVI NA LULU.

Wema sepetu amesema kuwa hana ugomvi na actress mwenzake Elizabeth Michael(Lulu) kama gazeti moja lilivyoandika. The two actresses starred in one film titled Houseboy. angalia Wema alichoandika na picha ikimuonyesha yeye, Lulu na Kajala ambao wote kwa pamoja walicheza filamu ya Houseboy.


No comments:

Post a Comment