Actress Elizabeth Michael(Lulu) ameonekana kuchukizwa na kitendo cha gazeti moja kumuandika kwa habari aliyoona siyo ya kweli. Gazeti hilo la udaku liliandika kichwa cha habari kisemacho "Lulu, Wema, Diamond afya mgogoro". Katika kujibu na kuelezea hisia zake actress huyo aliamua kuwa mkali kidogo na kusema kuwa Lulu wa sasa sio yule wa Zamani maana amekuwa. ".Imekuwa ni kawaida ya mtu kujisikia kusema
chochote...muda mwingine mnaweza mkahisi hatuoni au mkahisi kukaa kwetu
kimya ni wajinga!!mm kama mm napenda kuwajulisha kuwa LULU mliyekuwa
mnamjua sio LULU wa ss...msitegemee kusikia nabisha au kupigizana
kelele...fanyeni kazi yenu lakini sio kuchafuana na kuipotosha
jamii....!!!nadhani kimya changu kina majibu mengi" alifunguka Lulu.
No comments:
Post a Comment