SHABIKI AWAANDIKIA BARUA YA KUWAPONDA NA KUWAPA USHAURI DIAMOND NA MAMA YAKE, UWOYA APONDWA.
Diamond
ameandikiwa barua na shabiki akimponda kwa tabia yake ya kubadilisha
wanawake kama nguo huku akiwa msanii ambaye ni kioo cha jamii. Alimpa
ushauri pia huku Irene Uwoya naye akipondwa. Barua hii imeanza kusambaa
kama moto wa kifuu huku jamaa huyo aliyeindika akianza kupata umaarufu
kwa barua yake hiyo pia ambayo imemkosoa mama Diamond kwa kuangalia
tabia za mwanaye bila kumkanya huku Diamond mwenyewe akijiita sukari ya
warembo. watoa maoni wengi mitandaoni wameonekana kukubaliana na
kilichiandikwa katika barua hiyo. Isome hapo chini...........
BARUA
KWA DIAMOND PLATINUMZ na MAMA YAKE MZAZI mbeya region P.O.BOX 1021
MBEYA
dear diamond....
sina imani we ni mzima wa afya kutokana hasa na
mambo unayofanya kiukweliii katika wasanii wakali mpaka kupitiliza hapa
tz wew ni mmoja wapo.. napenda sana vibonzo vyako hasa kile cha " nani
amenuna nani amenuna eti nani amenuna" najua utakua umemalizia WEMA...
katika kila shoo zako unazofanyaga mara nyingi huwa unataja kumheshim
sana mama yako mzazi kutokana na malezi aliyokupa toka kipindi kile
unauza MITUMBA.. lakini saiz unafanya mama wa watu aonekane alizaa toto
zinzi ambalo kama limetumwa kuzini na kuumiza wanaume wenzie.. ivi
unajua mke anauma kias gani hata kama wanajileta we ni mtu mzima ambaye
unatakiwa kupembua mambo.... hasa kuhusu jambo la HILI MBURULA LENZIO
UWOZO or SORY I mean UWOYA.. unajua kabisa
kaka yetu NDIKU ambaye
anafanya kazi ngumu ya kukabana na wakina NSAJIGWA NFUSO uwanjani ili
apate chochte cha kulisha family yake lakini wew bila huruma una ramba
asali yake... ivi unajua mtoto wa uwoya "krish" atakopukua njiani kwenda
shule wenzie watakua daily wakimuambia " mtoto wa kambo wa DOMO huyo'
ivi dear diamond mbna unataka mama yako asipewe heshma sababu ya wew
hujui ka unamfanya awe despsd infrnt of da pple... najua hujaelewa coz
elimu kwako ni tatizo utampigia wema akufafanulie ila usi mrecord coz
anakusaidia ww.... au umea athirika unafanya kusambaza.. hawa wanawake
wapo toka enzi za ma dinossaurs,,, mwambie penny akuambie maANA ya
dinossaurs.. huu mda unaoangaika na wanawake ungejiendeleza ata kielimu
iyo 4m four itakufksha wap.. na wew mama diamond ivi huoni anachofanya
mwanao unashindwa kumshauli au unataka uje kumwambia akishaanza
kuharisha na kumvisha visepe.. ERIC SHIGONGO naomba ukiiona hii itupie
kwenye ijumaa wikienda ili babu yangu wa ileje Ambaye hatumiii fb asome
mana kila siku amekua akiipenda nyimbo ya mbagala bila kujua uovu wa
aliyeimba kwa leo yatosha ila TACAIDS naamini itakutemblea diamond siku
si nyingi kkupa matumizi saHII YA arv
wako shabiki nambA MOJA DUNIA NZIMA....... via mbele kuchungu
From:http://www.facebook.com/pachito.eddy
No comments:
Post a Comment