Friday, April 12, 2013

RAYUU ATAJA SIFA ZA MWANAUME ANAYEMZIMIKIA, NI LAZIMA AWE NA SEXY BODY AND ......

Muigizaji wa filamu Rayuu amefunguka na kutaja sifa za mwanaume anayemtaka, aliyasema hayo alipoulizwa na swahiliworldplanet kuwa anatarajia kuolewa lini na actress huyo kujibu kuwa ndoa ni mateso na wengine huwa wanawachukulia vibaya mastaa so wanaogopa kuwatambulisha kwa familia zao. hata hivyo Rayuu alianika sifa za mwanaume anayemzimia, alisema "
Bt napenda boy mwenye sex bdy'yaan mrefu kifua cha haja;white mwenye sura nzuri!smart anayejitambua na mwenye true love na anayejua kubembeleza na kujali hasa nikiwa kwenye matatizo"

Rayuu pia alisema anapenda mwanaume chotara lakini ni lazima awe na sifa hizo hapo juu " Nw nataka jaribu half cast!"
Alisema pia hata akitokea boy mweusi but mwenye sifa hizo hapo juu hawezi kumyeyusha kama ana upendo wa dhati na hicho kifua cha haja anachotaka.



No comments:

Post a Comment